PSG wapata pigo lingine kuelekea Old Trafford
Majonzi juu ya majonzi kwa klabu ya Paris Saint Germain ya nchini Ufaransa ikiwa inaelekea mchezo wake wa kwanza muhimu wa hatua ya 16 bora wa michuano ya klabu Bingwa Ulaya dhidi ya Manchester United katika uwanja wa Old Trafford uliyopo katika jiji la Manchester nchini England siku ya Jumanne ya Februari 12. PSG wamepata …