Infantino kukalia kiti cha Urais bila kupingwa
Mtandao wa marca.com umeripoti kuwa Rais wa sasa wa shirikisho la mpira wa miguu ulimwenguni FIFA Gianni Infantino ataendelea kukalia kiti hicho cha Urais hadi mwaka 2023, hiyo ni baada ya Rais huyo kutopata wagombea wanaompinga katika kinyang’anyiro hicho cha kuwania nafasi hiyo ya Urais wa FIFA. Uchaguzi Mkuu wa shirikisho la mpira wa miguu …