Yanga wasema mapambano ya Ubingwa bado ni makali
Baada ya kutoka sare ya kutokufungana dhidi ya Singida United Kaimu mwenyekiti wa Klabu ya Yanga Samuel Lukumay amesema kuwa mapambano ya Ligi kuu bado ni makali kwa Timu zote zinazoshiriki Ligi hiyo kutokana na mechi zinavyochezwa na matokeo wanayoyapata. “Matokeo ya jana hayakuwa mazuri kwetu tunajipanga tena kwa mchezo wetu unaofuata dhidi ya JKT …