Wambura kumpeleka Karia Mahakamani
Aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania, Michael Wambura amesema atampeleka mahakamani Rais wa Shirikisho hilo Wallace Karia kwa kushindwa kuheshimu maamuzi yaliyotolewa na Mahakama kuu ya Tanzania. Wambura amesema kuwa Rais Karia ndiye mtu aliyekiuka maamuzi yaliyotolewa na mahakama kuu hivyo anamfikisha mahakamani kwa kosa hilo. Ikumbukwe kuwa Machi 15,2018 …