Ramos afungiwa mechi 2 na UEFA
Beki wa Real Madrid Sergio Ramos amefungiwa mechi mbili za klabu bingwa Ulaya na UEFA kwa kosa la kutafuta kadi ya njano kwa kusudi kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 bora klabu bingwa Ulaya dhidi ya Ajax Februari 13. Njano hiyo aliyoipata dakika ya 89 ya mchezo huo ambao Real Madrid walishinda kwa …