CAF yaipa adhabu Esperance
Shirikisho la mchezo wa mpira wa miguu barani Afrika CAF limetangaza maamuzi mazito baada ya kikao chao cha kamati ya maadili kukutana na kujadili nidhamu ya mashabiki wa timu ya Esperance ya Tunisia waliyoioneshwa wakati wa mchezo wa fainali ya klabu Bingwa Afrika Msimu uliopita. CAF kwa maridhiano ya pamoja imeamua kuifungia klabu ya Esperancepo …