AARON RAMSEY AMESAINI MKATABA WA AWALI NA JUVENTUS
Wakati kukukiwa na taarifa za kudai kuwa kocha mkuu wa Arsenal Unai Emery yupo radhi Mesut Ozil aondoke Arsenal, nchini Italia zimeripotiwa taarifa za Mabingwa wa Super Coppa klabu ya Juventus kufikia makubaliano na kiungo wa Arsenal Aaron Ramsey. Taarifa iliyoelezwa kuripotiwa na Sky Sports Italia inaeleza kuwa Aaron Ramsey tayari amesaini mkataba wa awali …