Henry azua gumzo Ufaransa
Kocha wa AS Monaco Thierry amekuwa gumzo nchiniUfaransa kufuatia kauli yake ya matusi aliyoitoa kumtusimchezaji Kenny Lala kwa kuchelewesha muda dakika ya43 wakati ambao timu anayoifundisha Thierry Henry ilikuwa imefungwa kwa mabao 2-1. Henry ambaye ni mchezaji aliyejijengea heshima kubwana kuhesabika kama miongoni mwa wachezaji bora wamuda wote alionekana katika picha za video akimwambia Kenny Lala ambaye ni mchezaji waStrasbourg timu ambayo ilimaliza mchezo kwakuifunga Monaco 5-1, aliambiwa na Henry kuwa‘bibi yako malaya’ Kufuatia kauli hiyo aliyoitoa Henry ambayeanaipambani Monaco isishuke daraja kutokana nakushinda mechi tatu pekee msimu huu ikiwa nafasiya 19 katika Ligi Kuu Ufaransa inayoshirikisha timu20 aliomba radhi baada ya mchezo na kuseamkuwa hakutakiwa kusema vile licha ya kuwa ile nilugha ya mtaani ila inaweza kuwa na tafsiri yakuumiza kwa wengine.