De Gea aweka viatu vyake kwenye Frame
Kipa wa Man United David de Gea ameviweka Frame viatu alivyovaa katika mechi dhidi ya Tottenham iliyochezwa Januari 13 katika uwanja wa Wembley Katika mechi hiyo ambayo United walishinda 1-0, De Gea aliokoa michomo 11 ambayo ni mingi katika mechi moja ya ligi kuu nchini England msimu huu kuliko aliyofanya kipa mwingine yoyote. De Gea …