Lineker achukizwa na Monaco
Uongozi wa timu ya AS Monaco ya nchini Ufaransa umeamua kumsimamisha kazi kwa muda usiojulikana kocha mkuu wa timu hiyo mfaransa Thierry Henry, uongozi ulitangaza taarifa hizo baada ya mfululizo wa matokeo mabovu ya timu hiyo ambayo ipo nafasi ya pili kutoka mwisho. Baada ya Henry kusimamishwa uongozi unasubiri kukaa na kujadili hatma ya kocha …