Rooney akamatwa tena kwa ulevi
Nahodha wa zamani wa Man United na timu ya Taifa ya England Wayne Rooney alikatamatwa na polisi katika uwanja wa ndege wa Dulles jimbo la Virginia nchini Marekani baada ya kukutwa amekunywa dawa za usingizi pamoja na pombe ambapo ilimpelekea kuchanganyikiwa. Mchezaji huyo alikunywa dawa hizo na pombe wakati akiwa safarini kutoka Saudi Arabia Disemba …