TFF yasimamisha uchaguzi wa Yanga SC
Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ya shirikisho la mpira Tanzania TFF Malangwe Ally Mchungahela leo Ijumaa ya Januari 11 2019 zikiwa zimesalia siku mbili kabla ya uchaguzi Mkuu wa Klabu ya Yanga, Mchungahel ametangaza kusitisha uchaguzi huo. Kamati hiyo ya Uchaguzi ya TFF chini ya Mchungahela imefikia maamuzi ya kusitisha uchaguzi wa Yanga kwa muda …