“HATUWEZI KUOMBA RADHI KWA SABABU NI SEHEMU YA MCHEZO” .
Klabu ya Simba SC baada ya kumalizika kwa mchezo wake wa klabu Bingwa Afrika hatua ya makundi dhidi ya JS Saoura ya nchini Algeria, wachezaji wake Haruna Niyonzima, Rashid Juma na Shiza Kichuya walisafiri asubuhi kuelekea Pemba katika mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi 2019. Simba walicheza mchezo huo wa fainali dhidi ya Azam …