Balotelli atuma salamu Nice
Ijumaa mshambuliaji wa zamani wa timu za Manchester City na AC Milan Mario Balotelli alipata nafasi ya kuichezea timu yake mpya ya Olympique Marseille kwa mara ya kwanza katika mchezo wa Ligi Kuu Ufaransa dhidi ya Lille, Balotelli ambaye amejiunga na Marseille akitokea Nice alicheza mchezo huo. Mchezo huo ambao ulikuwa wa kwanza kwa Balotelli …