Mchezaji wa Fulham akamatwa na polisi
Mshambuliaji wa Fulham Aboubakar Kamara raia wa Ufaransa Jumatatu aliitiwa polisi kufuatia kugombana na moja kati ya staff wa timu hiyo wakiwa katika uwanja wa mazoezi wa timu, hivyo kufuatia kilichotokea na staff wa timu hiyo uongozi uliita Polisi kwa ajili ya kutatua tatizo. Inaelezwa kuwa kabla ya hapo Aboubakar Kamara alikuwa kafungiwa na kocha …