Monaco yamsimamisha kazi Thierry Henry
AS Monaco imemsimamisha kazi kocha wake Thierry Henry kutokana na timu hiyo kuwa na mfululizo wa matokeo mabaya unaowafanya kuwepo katika eneo la kushuka daraja katika Ligue 1 Timu hiyo haijashinda mchezo wowote wa ligi tangu mwanzoni mwa mwezi Disemba mwaka jana walipoifunga Amiens bao 2-0. Taarifa hiyo ya kusimamishwa imekuja siku mbili baada ya …