Mchezaji wa Cardiff apotea na ndege
Mshambuliaji mpya wa Cardiff City Emiliano Sala alikuwa kwenye ndege binafsi iliyopotea angani jana ikiwa inatoka Nantes,France kwenda Cardiff Wales, wamethibitisha mamlaka ya anga ya France. Muargentina huyo,28, aliyesajiliwa kwa ada ya rekodi ya klabu hiyo ya pauni milioni 15, alikuwa ni miongoni mwa watu wawili waliokuwepo kwenye ndege hiyo iliyopotea. Baada ya kusaini mkataba …