Glen Johnson atandika daruga
Beki wa zamani wa Liverpool na timu ya Taifa ya England Glen Johnson ametangaza rasmi kustaafu kucheza soka akiwa na umri wa miaka 34. Katika miaka ya 16 ya kucheza soka, Johnson amecheza vilabu vya West Ham, Chelsea, Portsmouth, Liverpool na Stoke City. Pia alicheza timu ya Taifa ya England mechi 54 kati ya mwaka …