Bondia Manny Pacquiao ameshinda pambano lake dhidi ya Mmarekani Adrien Broner kwa Unanimous Decision na kutetea ubingwa wake wa WBA Welterweight.
Majaji wote watatu wamempa Pacquiao pointi 117-111, 116-112, 116-112.
baada ya pambano hilo, Manny Pacquiao aliitumia nafasi hiyo kuomba pambano la marudiano na Floyd Mayweather.. Unadhani Mayweather atakubali kurudi ulingoni tena ? Na Je nani anaweza kuibuka mbabe..?
