Bondia Manny Pacquiao ameshinda pambano lake dhidi ya Mmarekani Adrien Broner kwa Unanimous Decision na kutetea ubingwa wake wa WBA Welterweight. Majaji wote watatu wamempa Pacquiao pointi 117-111, 116-112, 116-112. baada ya pambano hilo, Manny Pacquiao aliitumia nafasi hiyo kuomba pambano la marudiano na Floyd Mayweather.. Unadhani Mayweather atakubali kurudi ulingoni tena ? Na Je …
Day: January 20, 2019
Baraza achukua hatamu Sofapaka
Mwenyekiti wa klabu ya Sofapaka Elly Kalekwa amedhibitisha kuteuliwa kwa John Baraza kama kocha mkuu baada ya kuondoka kwa Melis Medo. Medo alifutwa kazi na Sofapaka hivi majuzi na Baraza ambaye alikuwa kocha msaidizi amerejea kileleni kwa mara ya tatu. Mwaka wa 2016 alichukua hata baada ya kufurushwa kwa David Ouma na mwaka wa 2018 …
JOSE MOURINHO KAWATAJA KLOPP NA GUARDIOLA KUWA NDIO MAKOCHA WENYE RAHA ZAIDI EPL WAKATI AKIWA KOCHA
Kocha wa zamani wa Manchester United Jose Mourinho leo alipata nafasi ya kuwa mchambuzi katika kituo cha BeinSports wakati wa mchezo wa ligi Kuu nchini London kati ya Arsenal waliokuwa nyumbani dhidi ya Chelsea, hatimae dakika 90 kumalizika kwa Arsenal kupata ushindi wa 2-0. Mourinho akiwa anachambua mchezo huo ambao ukihusisha timu yake ya zamani …
PATRICK AUSSEMS ‘UCHEBE’ KATAJA ALIPOZIDIWA NA AS VITA
Kiu ya watanzania na mashabiki wa Simba kuona mchezo wa pili wa hatua ya makundi wa michuano ya klabu Bingwa Afrika kati ya AS Vita dhidi ya Simba uliyopigwa katika mji wa Kinshasa, iliingia nyongo kufuatia kupoteza mchezo huo kwa mabao 5-0. Baada ya mchezo kocha wa Simba Patrick Aussems na kocha wa AS Vita …
JACOB MASAWE AMEFICHUA SIRI KOCHA WAO ALIVYOWAJENGA KISAIKOLOJIA
Nahodha wa Stand United Jacob Masawe ambaye ndio aliifungia bao la ushindi Stand United dakika ya 88 dhidi ya Yanga, ameeleza kuwa kocha wao aliwatoa hofu mapema kabla ya mchezo na kuwaambia waingia wacheze mpira wasihofu kwani wachezaji wa kitanzania wanafanana tofauti yao ndogo sana. Kauli au maelezo ya kocha wa Stand United kwa wachezaji …