CHILUNDA ATOLEWA KWA MKOPO HISPANIA
Mchezaji wa kitanzania aliyejiunga na klabu ya CD Tenerife akitokea Azam FC Shaban Iddi Chilunda ameripotiwa kujiunga na klabu ya CD Izzara ya nchini Hispania pia kwa mkopo wa muda mfupi, Chiliunda ambaye ni mchezaji mahiri atadumu katika klabu hiyo hadi mwisho wa msimu. Chilunda alijunga na CD Tenerife kwa kandarasi ya miaka miwili akitokea …