Mnyama kuwafuata wacongo kesho
Baada ya kushinda mchezo wao wa kwanza katika hatua ya makundi wikiendi iliyopita, klabu ya Simba inataraji kuondoka Tanzania hapo kesho Alhamisi Januari 17 na kuelekea jijini Kinshasa nchini Congo kwa ajili ya mchezo wa pili hatua ya makundi ambao watacheza dhidi ya AS Vita Mchezo huo unataraji kucheza siku ya jumamosi Januari 19 saa …