Simba amuua mwarabu Taifa
Goli 3-0 ndio ushindi ambao Simba SC imeanza nao katika mechi yao ya kwanza katika michuano ya klabu bingwa Afrika hatua ya makundi msimu huu. Simba SC wameondoka na ushindi huo leo katika dimba la uwanja wa Taifa Dar es salaam dhidi ya timu ya JS Saoura kutoka nchini Algeria. Magoli ya Simba leo yamewekwa …