MAURIZIO SARRI KASEMA KWA MTAZAMO WAKE ANAONA FABREGAS AONDOKE
Kocha wa Chelsea Maurizio Sarri anaamini kuwa maamuzi ya kumuacha kiungo wa kihispaniola Cesc Fabregas aondoke Chelsea anaamini ni sahihi kwa kiungo huyo na yana faida sana kwa mchezaji huyo kwa siku za usoni, hiyo inatokana na utamaduni au falsafa ya Chelsea. Maurizio Sarri anasema maamuzi ya kwenda Fabregas katika klabu ya AS Monaco ya …