HII NDIO TIMU INAYOTAKA KUMPA KAZI MOURINHO
Ni siku 18 zimepita toka uongozi wa timu ya Manchester United watangaze kusitisha mkataba wa kazi wa kocha Jose Mourinho kuifundisha timu hiyo na kumtangaza Ole Gunnar kama ndio kocha wao mpya wa muda, leo zimeripotiwa taarifa kuwa Jose Mourinho anajiandaa kupata dili jipya la kufundisha soka. Imeripotiwa kuwa kocha huyo raia wa Ureno Jose …