Zijue timu zinazoongoza kuchukua FA Cup
Hizi ndio timu zinazoongoza kwa kushinda kombe la FA mara nyingi zaidi Arsenal – 13 Man United -12 Chelsea – 8 Tottenham – 8 Liverpool – 7 Aston Villa – 7
Hizi ndio timu zinazoongoza kwa kushinda kombe la FA mara nyingi zaidi Arsenal – 13 Man United -12 Chelsea – 8 Tottenham – 8 Liverpool – 7 Aston Villa – 7
Januari 12, 2019 baada ya miaka 15 wekundu wa Msimbazi Simba SC watapata fursa nyingine ya kucheza mchezo wao wa kwanza wa hatua ya makundi ya michuano ya klabu Bingwa Afrika dhidi ya JS Saouro katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Kuelekea mchezo huo ambao ni muhimu kwa timu zote kwa Simba SC …
Klabu ya KCB imewasimamisha kazi makocha wasaidizi Ezekiel Akwana na Elvis Ayany baada ya Matokeo mabaya inayoyapata timu hiyo. Licha ya kuwasajili wachezaji wa haiba kubwa baada ya kupanda daraja mwaka uliopita, KCB haijaweza kupata ushindi katika mechi tano ya kwanza msimu huu, timu hiyo imeweza kujivunia pointi moja baada ya sare dhidi ya Bandari …
Klabu ya Manchster City kwa sasa imerudi katika furaha ya hali ya juu kufuatia kufufua matumaini ya wao kutetea taji lao Ligi Kuu nchini Uingereza dhidi ya Liverpool ambao kabla ya mchezo wa jana kukutana dhidi yao Liverpool alikuwa anaongoza kwa tofauti ya alama 7. Hata hivyo mchezo wa Manchester City dhidi ya Liverpool ulimalizika …