Makambo achukua tena tuzo ligi kuu
Mshambuliaji wa Yanga SC Heritier Makambo ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa ligi kuu Tanzania Bara kwa mwezi Disemba. Hii ni mara ya pili mfululizo Makambo anachukua tuzo hiyo
Mshambuliaji wa Yanga SC Heritier Makambo ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa ligi kuu Tanzania Bara kwa mwezi Disemba. Hii ni mara ya pili mfululizo Makambo anachukua tuzo hiyo
Kocha wa Yanga SC Mwinyi Zahera ameshinda tuzo ya kocha bora wa mwezi Disemba ligi kuu Tanzania Bara, ikiwa ni mara yake ya pili mfululizo kuchukua tuzo hiyo. Hii ni mara ya 3 msimu huu wa ligi kuu Tanzania Bara kocha huyo ameshinda tuzo ya kocha bora wa mwezi.
Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera ameamua kufanya maamuzi magumu ya kumuondoa aliyekuwa nahodha wa timu hiyo Kelvini Yondani katika nafasi hiyo na kuamua kumtangaza nahodha mpya. Kufuatia maamuzi hayo ya kocha Mwinyi Zahera Yanga sasa nahodha wao mpya atakuwa ni Ibrahim Ajib. Sababu za kocha Mwinyi Zahera kumuondoa Kelvin Yondani katika nafasi hiyo ni …
Baada ya majogoo wa Jijili Liverpool kukumbana na kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya Manchester City katika uwanja wa Etihad, kocha wa klabu hiyo amebadilika na kuwa mbogo kutokana na kushangazwa na nahodha wa Manchester City Vincent Kompany kubaki uwanjani. Mabao ya Sergio Aguero na Leroy Sane dakika ya 40 na 72 ndio yameifufulia Manchester …