Oliech atua Gor Mahia
Nahodha wa za zamani wa timu ya taifa ya Kenya Dennis Oliech amejiunga na miamba wa ligi hiyo, Gor Mahia kwa kandarasi ya miaka miwili. Oliech ambaye mwisho alicheza soka mwaka wa 2015 katika milki ya kiarabu amesaini mkataba ambao utamfanya kuwa mchezaji anayelipwa pesa nyingi katika ligi ya Kenya. Mshahara wake wa mwezi mmoja …