Arsenal wanasa kifaa cha Barca
Kiungo wa Barcelona Denis Suarez amejiunga rasmi na Arsenal kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu huu. Katika majira ya kiangazi Arsenal inayo chaguzi ya kumsajili Mhispania huyo,25, ambaye amewahi kufanya kazi na kocha wa Arsenal Unai Emery katika klabu ya Sevilla