KINGSLEY COMAN YUKO TAYARI KUACHA SOKA
Kinda wa FC Bayern Munich ya nchini Ujerumani Kingsley Coman ameonesha dhamira yake ya kushindwa na uvumilivu wa kufanyiwa upasuaji mara mbili mfululizo katika kipindi kifupi, upasuaji ambao umekuwa ukihusisha sehemu moja pekee. Mwezi huu Coman ‘22’ amefanikiwa kurudi uwanjani kwa mara ya kwanza baada ya kufanyiwa upasuaji wa pili wa enka ya kushoto toka …