OWEN ASIMAMA KUMTETEA POGBA DHIDI YA MOURINHO
Nyota wa zamani wa vilabu vya Liverpool na Manchester United Michael Owen ameonekana kuingilia kati ishu iliyokuwa ikiendelea kuhusiana na tuhuma za kocha wa Manchester United Jose Mourinho kuhusiana na uwezo wa kiungo wake Paul Pogba. Mourinho na Pogba wamekuwa hawaelewani mara kadhaa imewahi kuripotiwa hivyo lakini sababu kubwa inaelezwa kuwa Jose Mourinho anamtuhumu Pogba …