Ole Gunnar Solskjaer kawatoa hofu wachezaji wa Man United “NATAKA WAFURAHIE SOKA”
Mwalimu wa muda wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer kueleka mchezo wake wa kwanza ya Ligi Kuu ya nchini Uingereza dhidi ya Cardiff City ugenini,. Ole Gunnar Solskjaer amsema lengo lake ni kutaka kumfanya kila mchezaji awe na furaha na morali ya kucheza soka kama ambavyo baadhi ya watu wanaipata wakiwa na timu zao. “Ninachotaka …