Ole Gunnar Solskjær Kaanza kauli za mbwembwe mapema
Kocha mpya wa muda wa Manchester United Ole Gunnar Solskjær ameonekana kuwa na wakati mzuri ndani ya klabu ya Manchester United kufuatia ushindi mnono alioupata kama kocha wa Manchester United katika mchezo wake wa kwanza kama kocha wa timu hiyo. Mtihani wa kwanza wa Ole Gunnar Solskjær kama kocha wa Manchester United ulikuwa dhidi ya …