Simba SC sasa kucheza dhidi ya Hassan Kessy Ligi ya Mabingwa
Shirikisho la soka Afrika CAF limepanga ratiba ya michezo ya pili ya michuano ya klabu Bingwa Afrika msimu wa 2018/2019, baada ya Simba SC kuwatoa Mbabane Swallows ya Swaziland kwa jumla ya mabao 8-1 katika mzunguuko wa kwanza sasa wamepangwa kucheza Zambia. Simba SC baada ya kupata matokeo hayo na kuvuka mzunguko wa kwanza …