COASTAL UNION IMESHINDWA KUPATA ALAMA TATU VS MBEYA CITY, ALIKIBA AKICHEZA KWA DAKIKA 64.
Mchezo wa 15 wa Ligi Kuu Tanzania bara kati ya Coastal Union waliocheza dhidi ya Mbeya City mjini Tanga katika uwanja wa Mkwakwani, ulimalizika kwa timu hizo kutoshana nguvu ya kufungana kwa bao 1-1 wakati kivutio kikubwa kikiwa ni msanii wa Bongofleva Alikiba kucheza mechi yake ya kwanza. Alikiba mchezo huo alipata nafasi ya kucheza …