Man City warudi katika ushindi
Baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo katika ligi kuu nchini England, leo kikosi kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa 3-1 ugenini dhidi ya Southampton. David Siva dakika 10 aliipa City goli la kwanza, kabla ya Pierre Hojbjerg kusawazisha katika dakika ya 37. City walifanikiwa kurudi katika uongozi baada ya James Ward Prowse kujifunga katika dakika ya …