AZAM FC WAMETANGAZA KWENDA MOROGORO KULINDA REKODI YAO
Klabu ya Azam FC imesafiri kuelekea Manungu Turiani kucheza mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania bara dhidi ya Mtibwa Sugar Jumamosi tarehe 29, Disemba 2018 wakiwa wanaenda kutetea rekodi yao imara ya kutopoteza mchezo wowote wa Ligi Kuu Msimu huu. Azam FC kupitia msemaji wao Jaffari Iddi Maganga amethibitisha timu hiyo kusafiri kuelekea mjini Morogoro …