Pogba anategemea zawadi ya mtoto kutoka kwa mpenzi wake
Mpenzi wa Paul Pogba mwanadada Maria Salaues alikuwa ni miongoni mwa washangiliaji 75,000 ambao walikuwa katika uwanja wa Old Trafford jana Disemba 26 kushuhudia mechi kati ya Man United na Huddersfield. Wakati mwanadada huyo,23, akiingia uwanjani, alionesha tumbo lake la ujauzito na kuonesha kuwa sasa mambo kwa Paul Pogba ni mazuri ndani na nje ya …