Ratiba ya Mapinduzi Cup 2019 yatoka, Simba na Yanga ndani
Michuano ya mapinduzi Cup itaanza kutimua vumbi Januari Mosi mpaka Januari 13, 2019 visiwani Zanzibar, ambapo ratiba yake ikiwa tayari imetolewa na vigogo wa soka nchini Simba na Yanga zikiwa katika makundi mawili tofauti . Katika michuano hiyo ambayo huchezwa mwezi Januari kila mwaka, Kundi A lina timu za Chipukizi, Mandege, KMKM, na Simba, wakati …