Ulimwengu asajiliwa Algeria
Mshambuliaji wa Tanzania Thomas Ulimwengu amesinya kandarasi ya miaka miwili kuichezea timu ya Js Saoura ya nchini Algeria ambayo imefuzu hatua ya makundi Klabu Bingwa Afrika.
Mshambuliaji wa Tanzania Thomas Ulimwengu amesinya kandarasi ya miaka miwili kuichezea timu ya Js Saoura ya nchini Algeria ambayo imefuzu hatua ya makundi Klabu Bingwa Afrika.
Siku moja baada ya klabu ya wekundu wa Msimbazi Simba kufanikiwa kuvunja rekodi yao ya kutolewa na klabu ya Nkana FC katika michuano ya CAF kwa kuwafunga 3-1 na kutinga hatua ya makundi ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2018/2019, msemaji wao Haji Manara kafunguka. Haji Manara kupitia mahojiano maalum na Azam TV amefunguka na …
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars na kinara wa mabao wa Ligi Kuu ya nchini Ubelgiji Mbwana Samatta baada ya kuwa sehemu ya kikosi cha timuya KRC Genk kilichopata ushindi wa 2-0 katika uwanja wa ugenini dhidi ya KAS Eupen, Samatta kafunguka Samatta ambaye ana siku ya nne le toka asaini mkataba …
Mtandao mahiri wa habari za michezo nchini Uingereza wa dailymail umeripoti taarifa za kushitusha kwa mashabiki wa klabu ya Arsenal kufuatia pigo walilolipata kutoka kwa kiungo wao Henrikh Mkhitaryan kuumia na kudaiwa atakuwa nje ya uwanja kwa muda kidogo. Henrikh Mkhitaryan anaripotiwa kuwa atakuwa nje ya uwanja kwa takribani wiki zisizopungua sita kufuatia jeraha la …