HASSAN KESSY KAWAPA USHAURI WA SIMBA BAADA YA KUITOA TIMU YAKE
Timu ya Nkana Red Devils ikiwa kwenye ardhi ya Tanzania siku ya Jumapili ya Desemba 23 imeondolewa rasmi katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika msimu wa 2018/2019 dhidi ya wenyeji wao Simba SC, Nkana wameondolewa baada ya Simba SC kupindua matokeo ya mchezo licha ya awali Nkana kutangulia. Mbao 3-1 ya Simba yaliofungwa na Jonas …