Simba yatinga makundi klabu bingwa Afrika
Klabu ya Simba imefanikiwa kuwatoa Nkana FC na kujiandikishia tiketi ya kucheza makundi klabu bingwa Afrika baada ya kuifunga kwa goli 3 – 1. Nkana FC ndio walikuwa wa kwanza kujiandikishia goli lake la kwanza kupitia mchezaji wake machachari Bwalya 17′, Jonas Gerrad Mkude alirejesha matumaini ya wanamsimbazi kwa shuti la mbali ambalo lilikwenda golini …