Fainali Kombe la EFL kuchezwa tarehe 24 Februari 2019
Chama cha soka nchini Uingereza kimetangaza kuwa tarehe rasmi ya kushuhudia kwa fainali ya Kombe la EFL ni siku ya Jumapili ya mwezi Februari 24 2019, wakati michezo ya kwanza itachezwa Januari 7 na kurudiana baada ya wiki mbili baadae. Tottenham Hotspurs baada ya kufanikiwa kuwatoa majirani zao wa London klabu ya Arsenal kwa kuwafunga …