Simba yakila kiporo chake cha kwanza kwa 2-1
Kikosi cha Simba leo kimeshuka dimbani kucheza mchezo wake wa 13 ikiwa ni jumla ya michezo 3 nyuma ya watani wake wa Jadi Yanga. Katika mchezo wa leo kikosi cha Simba kimejizolea alama 3 na ushindi wa magoli 2 -1, magoli yaliyofungwa na Adam Salamba 11′ na Said Ndemla 14′ kipindi cha kwanza. Kikosi cha …