Messi akabidhiwa kiatu chake cha dhahabu
European Golden Shoe ni tuzo ambayo hupewa mchezaji ambaye ameongoza kwa kufunga magoli katika ligi kwenye ligi kubwa barani Ulaya. Msimu uliopita 2017/18 Lionel Messi ndio alishinda tuzo hiyo kwa kufunga magoli 34 katika La Liga na kuwa mchezaji mwenye goli nyingi katika ligi kubwa Ulaya, Mo Salah wa Liverpool alishika namba mbili akifunga goli …