Ijue Droo ya 16 Bora UEFA Champions League
Leo katika jijini Nyon, Switzerland droo ya kupanga mechi za hatua ya 16 ya klabu bingwa Ulaya imefanyika. Mechi hizi zitaanza kuchezwa mwezi Februari 2019. Schalke vs Manchester City (February 20 na March 12) Atletico Madrid vs Juventus (February 20 na March 12) Manchester Unites vs PSG (February 12 na March 6) Tottenham vs Borussia …