TANZANIA YATWAA UBINGWA BOTSWANA
Timu ya Serengeti Boyz (Tanzania U17) yatwaa ubingwa Katika michuano ya vijana kusini mwa Afrika (Kanda ya Tano) baada ya kuifunga timu ya Angola (U17) kwa mikwaju ya penati 6-5 baada ya mchezo kumalizika kwa 1-1, mchezo huu wa fainali ulifanyika nchini Botswana. Hongera sana Tanzania, Hongera sana Serengeti Boyz