Simba yaangukia pua Zambia
1Baada ya kuingia kwa kishindo katika hatua ya kwanza ya ligi ya Mabingwa Afrika, Simba leo walikuwa jijini Kitwe kuwavaa Nkana FC katika mchezo wa raundi hiyo ya kwanza.Mabingwa hao wa Tanzania wameondoka vichwa chini katika mchezo huo baada ya kupewa kichapo cha goli 2-1, magoli ya Nkana fc anayoichezea Mtanzania Hassan Kessy yamewekwa wavuni …