Boban rasmi mali ya Yanga
Mchezaji mkongwe Haruna Moshi Bobani leo rasmi amesaini kandarasi ya mwaka mmoja kukitumikia kikosi cha Yanga Akizungumzia usajili huo kocha mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera alisema kuwa alivutiwa na Boban baada ya kumuona kwenye mchezo wa ligi kuu kati ya African Lyon dhidi ya JKT Tanzania Tukukumbushe kuwa Haruna Moshi Boban anayetajwa kuwa miongoni mwa …