Kwa kauli hii Klopp na Liverpool haondoki leo
Pamoja na kuwa klabu ya Liverpool ya Uingereza Jumanne ya Desemba 11 usiku itakuwa Anfield kucheza dhidi ya Napoli ya nchini Italia, kocha wao Jurgen Klopp amezima tetesi za uwezekano way eye kwenda kufanya kazi Italia. Klopp wengi walikuwa wakiamini anavutiwa na Italia ila mwenyewe amekiri kuwa anachokipenda Italia ni chakukal chao tu lakini lugha …